Mwanadada Rose ndauka amekanusha habari zilizoandikwa jana
kwenye mitandao mbalimbali nchini kuwa huenda yu mjamzito kutokana na
tukio la kuugua ghafla na kupandwa na kichefuchefu alipokuwa location
akitengeneza Filamu yake mpya (kama nayoonekana pichani)
Akizungumza na mtandao wa Swahili World Planet, Rose ndauka
amesema kuwa habari hizo si za kweli na wala yeye hajaongea jambo kama
hilo
Sio kweli na kilichoandikwa sijakiongea" hata sijui wamepata wapi hizo taarifa. Alinukuliwa akisema Rose ndauka.
Credit:Bongo Movie.
No comments:
Post a Comment