Mgosi Mkoloni
...........Profesa Jay amefiwa na mama yake mzazi usiku wa jana kwa ajali baada ya kugongwa na gari akiwa anavuka barabara jirani na nyumbani mbezi jana majira ya saa 1 usiku,tupo nyumbani kwa Profesa msibani tokea jana,
PATA PICHA inatoa pole kwa Profesa ,Black Rhino,Simple X, Steve,Viola na Koliombi ambayo ndio familia ya Haule....Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema amin

No comments:
Post a Comment