Redd's Miss Tanzania 2013,Happiness Watimanywa akipungia mkono mara baada ya kutangazwa mshindi wa Taji hilo kwa mwaka huu.Kushoto ni mshindi wa pili,Latifa Mohamed na kushoto ni mshindi wa tatu,Clara Bayo
![]() |
Hawa ni warembo walioingia hatua ya tano bora. |
Hawa ni warembo walioingia hatua ya 15 bora.
No comments:
Post a Comment