Siku ya jana ndiyo ilikuwa siku ya mwisho ya kuuaga mwili wa aliyekuwa msanii
wa filamu Bongo, Zuhura Maftah ‘Melisa’ aliyefariki dunia Jumapili
iliyopita katika hospitali ya Hindu Mandal ambapo majonzi yalitawala
nyumbani kwa dada yake Mikocheni ulikokuwa ukiagwa mwili wake na kwenda
kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni, Dar.
(Habari/Picha: Gladness Mallya, Hamida Hassan na Shakoor Jongo / GPL)
tunaelewa sasa hivi ni karne ya 21 lakini muwe mnawasitiri maiti kwenye kupiga picha,kwa nini mnaziachia picha kama hivi,hii ni kwa vyombo vyote.muwe mnawaziba au kutowapiga picha kama hivi jamani.sio ustaarabu kabisa.
ReplyDelete