Habari zilizotufikia zinasema kuwa mwigizaji wa bongo
movies Zuhura Maftah ama Malisa (Pichani) amefariki dunia lsiku ya jana.
Bado hatujaweza kupata taarifa kamili za chanzo cha kifo chake
ila tnafanya juhudi kuweza kuzipata na tutawaletea hivi punde
zitakapokuwa tayari.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
No comments:
Post a Comment