Mshindi
wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface akipozi kwa
picha mara baada ya kushinda taji hilo jana na kuwa mrembo wa pili kuingia
katika nusu fainali za Miss Tanania 2013 baada ya kuwashinda warembo wenzake 29.
Shindano la Miss Tanzania Top Mode lilifanyika katika Hoteli ya Snow View
Arusha na kuwashirikisha warembo 30.
Mshindi
wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface (katikati) akipozi
kwa picha na mshindi wa pili Elizabeth Pert (wapili kushoto), mshindi wa tatu
Svetlana Nyameyo (wapili kulia), mshindi wan ne Happiness Watimanywa ambaye pia
ni Miss Tanzania Photogenic 2013 na Mshindo wa tano Latifa Mohamed, mara baada
ya kushinda taji hilo jana ambapo Narietha amekuwa mrembo wa pili kuingia
katika nusu fainali za Miss Tanania 2013 baada ya Miss Photogenic. Shindano la Miss
Tanzania Top Mode lilifanyika katika Hoteli ya Snow View Arusha na
kuwashirikisha warembo 30.
Warembo
walipo jinadi kwa pozi kali na miondoko ya kufa mtu katika kuwania taji
hilo la Redd's Miss Tanzania Top Model 2013 ndani ya Snow View Hotel
Arusha.
Wadau
kutoka TAN MEDIA ambao ni waendeshaji wa Radio Gwala (Radio 5) ya
jijini Arusha wakifuatilia kwa ukaribu shindano hilo wakiongozwa na
Fransic
Emma Mroso kutoka JAZZ Collection ya jijini Arusha akipozi na warembo waliovaa mavazi kutoka kampuni hiyo.
Wadau mbalimbali wakifuatilia shindano hilo.
No comments:
Post a Comment