Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa Balozi Isaac Sepetu, Mama
Miriam Sepetu, alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza
Mori, Dar es Salaam jana, kutoa pole kwa mjane huyo na familia ya
Marehemu Sepetu aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa wanafamilia wa Balozi Isaac Sepetu alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam jana, kutoa pole kufuatia msiba Marehemu Sepetu aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Balozi Isaac Sepetu alipokwenda nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam, kutoa pole kufuatia msiba Marehemu Sepetu aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa Balozi Isaac Sepetu alipokwenda nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam jana, kutoa pole.
Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba
wa Balozi Isaac Sepetu nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa wanafamilia wa Balozi Isaac Sepetu alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam jana, kutoa pole kufuatia msiba Marehemu Sepetu aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Balozi Isaac Sepetu alipokwenda nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam, kutoa pole kufuatia msiba Marehemu Sepetu aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa Balozi Isaac Sepetu alipokwenda nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam jana, kutoa pole.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Balozi Isaac Sepetu, Mama Miriam Sepetu, alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam jana, kutoa pole kwa mjane huyo na familia ya Marehemu Sepetu aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment