Vifa vya Salon vinauzwa bado viko
katika hali nzuri, kwa anayehitaji viko eneo la mwenge barabara ya TRA
mkabala na Magorofa ya Jeshi karibu na Bar inaitwa KIBO BAR. VIFAA VIKO KWENYE
SALON INATWA LOLINA. BEI NI 4,500,000. MAZUNGUMZO YAPO!
PIGA NAMBA HIZI
0784555585
0719222533
0758703865
0719222533
0758703865
No comments:
Post a Comment