Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Padri wa Kanisa Katoliki la Minara miwili Mjini Zanzibar
Cosmas Amani Shayo, alipowasili katika eneo la Mazishi ya Marehemu
Balozi Issac Abraham Sepetu,yaliyofanyika kijijini kwao Mbuzini Wilaya
ya Magharibi Unguja jana.
( PICHA RAMADHAN OTHMAN IKULU )
No comments:
Post a Comment