MWIGIZAJI mahiri Bongo, Wastara Juma Issa Abeid ‘Wastara’ amesema
suala la kuolewa tena halikwepeki licha ya kutokuwa na mawazo juu ya
suala hilo kwa sasa.
“Mimi ni mwanamke niliyekamilika,
suala la kuolewa ni lazima, japo kwa sasa sifikirii kufanya hivyo,
lakini sidhani kama nitaweza kukaa bila mwanaume, lakini pia usumbufu
kutoka kwao unaendelea,” alisema Wastara.
No comments:
Post a Comment