Diamond akitoa zawadi kwa mshindi wa nne(katikati).Diamond
akiwa na washindi kutoka kushoto ni Rama na wa pili kutoka kushoto ni
Hamisi wote ni wanafunzi wa darasa la nne ambao atawasomesha kuanzia
darasa la nne mpaka watakapomaliza elimu ya shule ya msingi.
Timu ya wasafi.
Diamond akiwapa mkono mashabiki wake.
Diamond akiwa anacheza na mpenzi wake Wema Sepetu.
Diamond na Wema huku wapiga picha wakiwa kazini.
Mashabiki waliojitokeza kwa wingi katika viwanja vya Leaders Club.
Babu Tale (kushoto) ambaye ni kiongozi wa kundi la Tip Top - Connection akiwa na shabiki wake.
Shaffih Dauda pamoja na mwanaye (katikati) wakiwa na wadau mbalimbali.
Mmiliki wa banda la Facebook take away mwenye mwili mkubwa ( wa kwanza kushoto), Sele Bonge' Big Dad' akifanya yake Leaders.
thanks for sharing and good job
ReplyDelete