1. MSIBANI KWA BABA WEMA... LULU ATOA MITUSI MIZITO
MSANII nyota wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amejikuta akiporomosha mitusi mizito ya nguoni kwenye msiba wa baba wa Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu, mzee Isaac Abraham Sepetu hali iliyowafanya baadhi ya waombolezaji kumkodolea macho ya mshangao...
ZAIDI, INGIA HAPA: MSIBANI KWA BABA WEMA... LULU ATOA MITUSI MIZITO
2. ANAYEDAI KUBAKWA NA KAPUYA HUYU HAPA
Stori: Waandishi Wetu
MNYONGE mnyongeni haki yake mpeni, skandali ya kumbaka na
kumwambukiza Ukimwi mwanafunzi, inamtafuna na kumuumiza Mbunge wa Urambo
Magharibi (CCM), Juma Athuman Kapuya. Kuhusu ukweli wa skendo hiyo,
vyombo vya sheria vitazungumza lakini gazeti hili limejiridhisha pasipo
shaka yoyote kuwa denti husika ni tapeli na anacheza rafu ili kumharibia
Kapuya kwa maslahi yake...ZAIDI, INGIA HAPA: ANAYEDAI KUBAKWA NA KAPUYA HUYU HAPA
3. EXCLUSIVE: SIRI 5 ZA WOLPER ZAVUJA
MOYO huhifadhi mengi mazito hasa ya kuumiza! Staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejikuta akimwaga machozi wakati akianika siri tano nzito kuhusu mapenzi katika mahojiano (exclusive interview) na Amani kwa takriban saa mbili...
ZAIDI, INGIA HAPA: EXCLUSIVE: SIRI 5 ZA WOLPER ZAVUJA
4. MAINDA: NIMETOA MIMBA YA RAY
Stori: Jelard Lucas
HILI ndiyo Risasi bwana! Sikia, kama ulikuwa hujui ni kwamba msanii mkongwe katika filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ameibuka na kueleza mengi ikiwemo kutoa mimba ya mpenzi wake wa siku nyingi, Vincent Kigosi, tulia hapohapo...
ZAIDI, INGIA HAPA: MAINDA: NIMETOA MIMBA YA RAY
5. UKWELI KUHUSU ASALI NA MDALASINI KAMA TIBA
ZAIDI, INGIA HAPA: UKWELI KUHUSU ASALI NA MDALASINI KAMA TIBA
6. RAY YAMEMKUTA
TUKISEMA staa wa filamu za Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ yamemkuta ni sawa, kisa ni ile ishu yake ya kutengeneza filamu inayoitwa Sister Marry ambapo mapadri wamemtaka asiipeleke sokoni milele, Risasi Jumamosi lina mkanda wote. Ishu hiyo ilitokea kwenye kikao kizito cha saa 5 kilichofanyika Jumanne iliyopita katika Ofisi za Utamaduni jijini Dar es Salaam...
ZAIDI, INGIA HAPA: RAY YAMEMKUTA
7. RAY AKONGOROKA
MWIGIZAJI Vincent Kigosi ‘Ray’ amezua hofu kwa ndugu, jamaa, marafiki na mashabiki wake baada ya kukongoroka ghafla akihisiwa anaumwa, Ijumaa Wikienda limemfuatilia hatua kwa hatua...
ZAIDI, INGIA HAPA: RAY AKONGOROKA
8. DENTI ALIYEDAI KUZAA NA DIAMOND... AUMBUKA, ATISHIA KUJIUA
ZAIDI, INGIA HAPA: DENTI ALIYEDAI KUZAA NA DIAMOND... AUMBUKA, ATISHIA KUJIUA
9. BONGO MUVI WAMSUSIA WEMA MSIBA
HUKU akiwa na majonzi ya kuondo-kewa na baba yake mzazi, Balozi Isaac Abraham Sepetu aliyefariki dunia Jumapili iliyopita kwa ugonjwa wa kisukari, baadhi ya wasanii wanaounda Klabu ya Bongo Movie (muvi) Unity wanadaiwa kumsusia msiba mwingizaji mwenzao, Wema Isaac Sepetu...
ZAIDI, INGIA HAPA: BONGO MUVI WAMSUSIA WEMA MSIBA
10. ANASWA
MfanyabiAshara ‘alwatani’ Bongo, mkazi wa jijini Dar, Allain Tajiri amekumbwa na skendo nzito baada ya kufumaniwa na mwanafunzi wa sekondari wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 16. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Jumatano ya Aprili 24, mwaka huu katika chumba namba 107 kwenye gesti iitwayo Jamboz iliyopo Kinondoni jijini Dar...
ZAIDI, INGIA HAPA: ANASWA!
No comments:
Post a Comment