Abuu Bakari akipokea kipigo cha nguvu kutoka kwa mpinzani wake Leonard .. ambapo hali ilikuwa mbaya sana kwa Abuu
Mwamuzi wa Mpambano huo Michael Mwamkenja akisimamisha mpambano huo
katika Mzunguko wa pili baada ya Bondia Abuu kunyosha mikono juu ishara
ya kushindwa .
Leonard Machichi akitangazwa mshindi wa pambano hilo kali ambalo wanaliita RDT
Makamu
wa Raisi mpya wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania Lukelo Anderson
au Man Power akiwa anatoa Neno la Shukurani Mara baada ya mpambano huo
kuisha.
Kutoka
Kushoto ni Bi. Zuena Kipingu ambaye ni Mjumbe wa Maendeleo ya Vijana na
wachezaji katika Shirikisho la ngumi za Ridhaa Tanzania,Mutayoba
Rwakatale Katibu wa maandalizi hayo, na Bondia Haruna Swanga.
Picha zote na Dar es salaam yetu.
No comments:
Post a Comment