Watu mbalimbali walipata nafasi ya
kujumuika pamoja ndani ya ukumbi wa burudani, Dar Live kwa ajili ya
kushiriki katika michezo mbalimbali kama kuweka miili yao sawa, jogging
ambayo iliandaliwa na kampuni za Red Bull, Benson and Dunhill Cigarettes
na Sayona Pure Drinking Water.
(PICHA/HABARI:NYEMO CHILONGANI NA DEOGRATIUS MONGERA/GPL)
No comments:
Post a Comment