Lubea
wa Skylight Band alitega mingo lango kuu la kuingilia na kugawa Shots
za Tequila pamoja na Sambuka bure kwa wapenzi wa Skylight Band.
Mashabiki
wa Skylight Band wakipata shots za Tequila bure kwenye usiku maalum wa
wapendanao uliofana Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village
Masaki jijini Dar.
Aneth
Kushaba AK47 akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye usiku wa
wapendanao juma lililopita huku akisindikizwa na Mary Lucos, Sony
Masamba na Sam Mapenzi.
Wadadaz na Wakaka wakijimwaga na burudani ya Skylight Band.
Walipendezaje...: Digna Mbepera akifanya yake jukwaani.
MAJEMBE
YA SKYLIGHT BAND....Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo katika hisia
kali kwenye nyimbo za malavidavi huku akisindikizwa na Joniko Flower
pamoja na Sony Masamba.
Palikuwa hapatoshi....kama ulikosa juma lililopita basi burudani inaendelea leo pale pale Thai Village.
Birthday
Girl....Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 (katikati) sambamba
na Winfrida Richard pamoja na Digna Mbepera waking'ara kwa jukwaani
kwenye usiku wa Valentine's Day juma lililopita.
Mheshimiwa Bundala anakwambia burudani ya Skylight Band ni Gym tosha, kama anavyoonekana pichani akisebeneka na mrembo.
Nakupenda
pia...Nakupenda Pia...... Collabo ya Ukweeli kati ya Hashim Donode na
Winfrida Richard njoo Ijumaa hii usikie kwa masikio yako.
Surprise.....Ilipotimia
saa sita kamili ya kuamkia tarehe 15/2 alizaliwa Meneja wa Skylight
Band Aneth Kushaba AK47, waimbaji wenzake waliamua kumuimbia wimbo wa
Happy Birthday na kumtakia maisha marefu.....Hujachelewa sana Ijumaa hii
unaweza kum-wish belated Happy birthday na kazawadi kidogo....!
Champagne zilihusika na kufunguliwa na Mary Lucos pamoja na Sam Mapenzi.
Mashabiki wa Skylight Band wakimpongeza Aneth Kushaba AK47.
Kuogeshwa nako kulihusika hajalisha umependezaje...lazima uoge kidogo.
No comments:
Post a Comment