MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011,
Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amefunguka kuwa, licha ya baadhi ya wasichana
wenzake kutokuwa na ujasiri wa kucheza na nyoka, yeye anao.
Akipiga stori na Ijumaa, Mabeto alisema awali alikuwa muoga lakini taratibu alianza kumzoea kiumbe huyo na sasa humtumia hata katika shughuli zake za kimodo anazofanya.
“Hizo
picha nilikuwa kwenye ‘photo shooting’ (upigaji wa picha) ila kiukweli
nina utaalam wa kucheza na nyoka, unajua siyo kila mtu anao ujasiri wa
kumchezea, kwanza anatisha ila mimi nilianza kumzoea taratibu,” alisema
Mabeto.

Akipiga stori na Ijumaa, Mabeto alisema awali alikuwa muoga lakini taratibu alianza kumzoea kiumbe huyo na sasa humtumia hata katika shughuli zake za kimodo anazofanya.
No comments:
Post a Comment