MWILI wa baba wa msanii wa filamu Bongo,
William Mtitu, aitwaye John Mtitu jana uliagwa nyumbani kwa mwanaye huyo
maeneo ya Madoto Mburahati na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo
wasanii wenzake.
Mwili wa mzee John uliwasili nyumbani kwa
mwanaye na kwenda kuagwa katika kanisa katoliki la Parokia ya Familia
Takatifu Mburahati na baada ya hapo ulisafirishwa kwenda Njombe Wilaya
ya Ludewa kwa ajili ya mazishi.
Stori/picha: Gladness Mallya/GPL
No comments:
Post a Comment