Akizungumza na gazeti namba moja la habari za mastaa na kijamii
Bongo, Ijumaa Wikienda juzikati, Wastara alieleza kwa huzuni kubwa kuwa
hafurahii eneo la Leaders kutumika kuagia kwa sababu ni eneo hilohilo
ambalo hutumiwa kwa starehe.
“Ukweli kwa upande wangu napinga mastaa kuagwa Leaders kwa sababu
Leaders mara nyingi hutumika kama sehemu ya anasa. “Ningeiomba serikali
itutafutie sehemu maalum kwa ajili ya kufanyia shughuli zote za misiba
ya watu maarufu,” alisema Wastara.
No comments:
Post a Comment