Stori: Shakoor Jongo MWANAMUZIKI
wa Bendi ya Msondo Ngoma, Hassan Moshi ‘TX Junior’ amenaswa katika pozi
tata na staa wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’.
Mwanamuziki
wa Bendi ya Msondo Ngoma, Hassan Moshi ‘TX Junior’ amenaswa katika pozi
tata na staa wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’.
Tukio la kunaswa kwa muimbaji huyo lilichukuwa nafasi katika baa moja
maarufu iliyopo Kinondoni jijini Dar ambapo TX Junior alipogundua
amefotolewa picha, ghafla alikosa raha na kujitetea:
“Dah! Huyu ni shemeji yangu tu nimekaa naye tukila bata, usinukuu
chochote unachokiona kikifanyika hapa maana kitaniweka katika hali
mbaya.”.
No comments:
Post a Comment