Msanii mkubwa wa Uganda, Joseph Mayanja 'Dr Jose Chameleone' akitoa burudani usiku wa kuamkia leo Maisha Club jijini Dar.
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Professor Jay ( kulia) akitoa burudani na Jose Chameleone.
Msanii wa Bongo Fleva anayesimamiwa na Wema Sepetu kupitia Endless Fame, 'Mirror' akitoa burudani ukumbini.
(PICHA: MUSA MATEJA, SHAKOOR JONGO/GPL)
No comments:
Post a Comment