WAKAZI wa Mbezi juu wamefurika kumuona mmyama Kakakuona ambaye ni adimu sana kuonekana, huku wengine wakiamini wamepata bahati katika maisha yao kumuona kiumbe huyo, ana kwa ana baada ya kumsikia na kumsoma katika vitabu. Kujua mengi zaidi tembelea Global Tv Online.
Gabriel Ng’osha/GPL
No comments:
Post a Comment