(Na Gabriel Ng’osha/GPL)
WEKUNDU wa Msimbazi
– Timu ya soka ya ‘Simba’ – hivi sasa inajiandaa vilivyo kwa ajili ya
msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa kufanya mazoezi ya nguvu tangu
jana kwenye uwanja wa Boko Veteran ulioko Boko, nje kidogo ya Jiji la
Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment