Picha hiyo ambayo ameipiga kitambo juzikati ilisambaa kwa kasi kwenye
mitandao mbalimbali ya kijamii na kuwafanya watu waanze kubishana kama
ni yeye au ni mtu anayefanana naye na wengine kukerwa na picha hiyo
wakisema itolewe kwa kuwa inamdhalilisha staa wao.
Baada ya kuona mzozo huo unakuwa mkubwa, gazeti hili lilimtafuta Ommy
Dimpoz ili aeleze kama ni yeye ambapo alikiri kwamba ni yeye na kudai
aliyekuwa na picha hiyo ni mjomba’ake tu anashangaa ilivyovuja
mitandaoni.
No comments:
Post a Comment