Muigizaji na mtangazaji wa TV maarufu, Lynda Bellingham (66)
amefariki siku ya jana katika mikono ya mume wake Hospitali ya London.
Kifo chake kimesababishwa na kansa ya ini iliyomsumbua kwa muda mrefu.
Alizaliwa Mei 31, 1948 Montreal, Canada . Aliolewa mara mbili na ana watoto wawili Michael Peluso, Robbie Peluso. Marehemu Lynda Bellingham alibadilisha uraia na kuwa mwingereza baada ya kuolewa
pia alikuwa mchekeshaji, mkarimu na mwenye vipaji mbalimbali.
Vipindi vya TV alivyoviendesha ni Faith in the Future, Second Thoughts, At Home with the Braithwaites, Country House Sunday, n.k Filamu alizocheza ni pamoja na The Romanovs: An Imperial Family.

No comments:
Post a Comment