Mdogo
aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu marehemu George Otieno
‘Tyson’ aitwaye Benson Okumu Otieno 'Benii' enzi za uhai wake.
Mdogo aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu marehemu George
Otieno ‘Tyson’ aitwaye Benson Okumu Otieno 'Benii' amefariki dunia
ghafla katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo, Dar mchana leo. Msiba upo
Sinza VaticanBenii alikuwa muigizaji na muongozaji wa filamu mbalimbali nchini. Mipango ya mazishi ya kumpeleka kwao Kenya
IRENE MWAMFUPE JAMII BLOG tunatoa pole kwa familia ya Benson Okumu Otieno, ndugu jamaana marafiki, Bwana ametoa , Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
No comments:
Post a Comment