Wanandoa James Gaskell (kushoto) na Alexandra (kulia) wamekutwa wamefariki ndani ya chumba karibu na jengo la Taj Mahal, nchini India.
Wanandoa James Gaskell (27)na mke wake Alexandra (24) walimu katika chuo cha Manchester International College, wenye shahada ya kwanza wamekutwa wamefariki ndani ya chumba karibu na jengo la Taj Mahal, nchini India. Watu hao wanasadikiwa kufariki Jumatatu iliyopita na kugundulika jana.
No comments:
Post a Comment