Kanye West Amruhusu Mke Wake Kim Kardashian Kupiga Hizi Picha Za Utupu
Rapper Kanye West ameweka wazi kuwa kuwa
anakubali kila akifanyacho mke wake kwenye majarida tofauti. Kupitia
twitter yake Kanye West ametwit picha ya Kim K iliyotumika kwenye jarida
la Paper.
Kim Kardashian ametokea mtupu tena kwenye jarida la Paper Winters toleo la 2014.
No comments:
Post a Comment