Mwigizaji Lupita Nyong'o amefuta uvumi
kuwa ameachana na K'Naan na kwamba anatoka na Jared Leto baada ya
kuonekana naye kwenye tuzo za Glamour November 11. Lupita tayari yupo
kwenye cover la jarida la Glamour toleo la December kama mwanamke wa
mwaka. Kwenye kupokea tuzo Lupita alisema
"Kuwa mwanamke ni kuwa binadamu, na nitaendelea kuwa binadamu na mwanamke bora zaidi"
"Kuwa mwanamke ni kuwa binadamu, na nitaendelea kuwa binadamu na mwanamke bora zaidi"

No comments:
Post a Comment