Filamu ya maisha ya marehemu Whitney Houston inayoigizwa na Yaya
DaCosta inaendelea vizuri mpaka sasa bila kukutana na mitazamo hasi
kutoka kwa mashabiki wa msanii na familia ya Bobby Brown. Muongozaji wa
filamu hii ni Angela Bassett huku sauti za muziki wa Whitney zikifanywa
na msanii Deborah Cox.
Kwenye hii filamu wataangalia zaidi maisha ya mapenzi ya Whitney na
Bobby Brown haswa walivyokutana wakati wote wako juu kwenye tasnia ya
muziki.
Filamu itatoka January 17, 2015.
No comments:
Post a Comment