Man United imeifunga QPR kwa mabao 2-0 na kurejea katika nafasi ya tatu ya Ligi Kuu England.
Kiungo Marouane Fellaini ni kati ya mashujaa wa United leo kutokana na bao lake la dakika ya 58 kabla ya kinda James Wilson kumaliza kazi katika dakika ya 90.
No comments:
Post a Comment