Muonekano wa gari la Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' baada ya gari lao kupata hitilafu ya breki na kupinduka mlima Kitonga jana.
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi, akiwa na wenzake watatu akiwemo Katibu wake, Kwame Anangise, Eddy na Kiboya wameumia na kukimbizwa hospitali mjini Iringa baada ya gari lao kupata hitilafu ya breki na kupinduka mlima Kitonga jana.
No comments:
Post a Comment