Kijana
Micah ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye miaka 20 kutoka
Chicago, Marekani, amechukua nafasi katika mitandao mbalimbali ya
kijamii kutokana na umbo lake kuwashangaza wengi.
MICAH ni mwanaume lakini ana hips kama au zaidi ya mwanamke baadhi ya wadada huzitamani kiasi cha kuamua kuzitafuta kwa daktari.
Kijana huyo ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye miaka 20 kutoka Chicago, Marekani, amechukua headlines kutokana na umbo lake kuwashangaza wengi.
Hivi ni vipimo vya mwili wake:
Kifua: 41.5″ Kiuno: 37″ butt/hips: 63″
No comments:
Post a Comment