Ule msemo wa
‘ukiona kobe kainama ujue anatunga sheria’ umedhihirika kwa mwimbaji wa
R&B, Juma Jux ambaye ni nadra sana kuonesha vitu vikubwa vya
kimaendeleo ambavyo anavifanya, ameshare picha ya mjengo wake wa
kifahari.

Katika picha ya mjengo huo aliyoiweka Instagram ameandika:
“Done with childish dreams on to bigger things #africanboy #inGoditrust #icantwait #soon”
No comments:
Post a Comment