Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama na mkewe wakimkaribisha jukwaani Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe pichani kulia ni Askofu David Mwasota wa Kanisa la Naioth Gospel Assembly
Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama akizungumza jambo na Mgeni
rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard
Membe,kati ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe.
Fenella Mukangara (kulia), Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, Mhe. Angella Kairuki.
Mgeni
rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard
Membe akiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe.
Fenella Mukangara (kulia), Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, Mhe. Angella Kairuki na Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex
Msama na Mkewe.
Askofu
David Mwasota wa Kanisa la Naioth Gospel Assembly akisoma hotuba
amempongeza Mhe. Bernard Membe kwa kujumuika na Watanzania katika
Tamasha la kumi na tano la Pasaka ililofanyika katika Uwanja wa Taifa,
jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ambaye
alikuwa mgeni rasmi akiongea katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka
ililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5,
2015. Pembeni ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ametoa
rai kwa viongozi wa dini zote pamoja serikali kuhimiza vijana waipende
dini ili kudumisha amani, utulivu na uadilifu.Mhe Membe amesema hayo
wakati akihubutibi maelefu wa watu waliohudhuria Tamasha la kumi na tano
la Pasaka, lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam,
Jumapili 5, 2015.
Askofu David Mwasota wa Kanisa la Naioth Gospel Assembly akisoma hotuba amempongeza
Mhe Bernard Membe kwa kujumuika na Watanzania katika Tamasha la kumi na
tano la Pasaka.Katika Tamasha hilo la Pasaka, Kampuni ya Msama
Promotions, ambao ndio waandaji wa Tamasha hilo, wamemtunuku Mhe. Rais
Jakaya Kikwete kwa mchango wake katika kukuza tasnia ya Sanaa nchini.
Tuzo ya heshima ilitolewa kwa Rais Mstaafu, Mhe. Ali Hassan Mwinyi.
Mhe
Bernard Membe alitunukiwa tuzo kwa mchango wake kwa shughuli za
kijamii.Tuzo zimetolewa kwa vyombo mbalimbali vya habari nchini kwa
michango yao katika kutangaza Tamasha la Pasaka.
Viongozi
wa Serikali waliohudhuria Tamasha hilo ni pamoja na Mhe. Fenella
Mukangara, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Angela
Kairuki, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, na Mhe.
Paul Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.Tamasha hilo lilihudhuriwa na
viongozi wa kidini wakiwemo, Askofu David Mwasota wa Kanisa la Naioth
Gospel Assembly na Mchungaji Mwasota.
Mgeni
rsami Mh.Membe akimkabidhi tuzo ya heshima Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara kwa niaba ya Rais Mstaafu,
Mhe. Ali Hassan Mwinyi.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe
akinyanyua juu tuzo aliyotunukiwa kwa mchango wake mkubwa kwa shughuli
mbalimbali za kijamii.
Keki ikikatwa kwa pamoja kama sehemu ya ishara ya amani na upendo.
Mgeni
rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard
Membe akishirikiana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,
Mhe. Fenella Mukangara (kulia) na Mchungaji Mwasota kukata keki.
Aanayeshudia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
Mhe. Angella Kairuki.

Membe akimlisha keki Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,
Mhe. Fenella Mukangara

Membe akimlisha keki Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama na mkewe.
Sehemu ya umati wa Watu waliohudhuria Tamasha la kumi na tano la
Pasaka, lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam,
Jumapili 5, 2015.
Sehemu ya umati wa watu
Kwaya
ya Kijitonyama wakiimba katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka,
lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5,
2015.
Sehemu ya umati wa watu
Waimbaji wa Kwaya ya Kijitonyama jukwaani
Uimbaji wa hisia ulitawala kwenye tamasha hilo.
Keki iliyokatwa ilipitishwa pia kwa watazamaji mbalimbali na kujipatia japo kipande.
Mwimbaji John Lissu na waimbaji wake pichani juu wakilishambulia jukwaa vilivyo.
Shabiki wa nyimbo za injili akionekana kuguswa
Ilikuwa ni shangwe za furaha kwa aliyekuwa akiguswa na nyimbo za kiroho.
Mdau
wa muziki wa Injili Emmanuel Mbasha akipa kitu cha Selfie na rafiki
yake ndani ya uwanja wa Taifa wakati tamasha Pasaka lililofanyika April 5
jijini Dar na kuhudhuriwa na maelfu ya watu
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini anayefahamika
kwa jina la Rebecca Malope akitoa burudani katika Tamasha la kumi na
tano la Pasaka, lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es
Salaam, Jumapili 5, 2015.
Baadhi ya Waimbaji wa Rebecca Malope wakiimba jukwaani.
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini,Rebecca Malope
akitoa burudani katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka, lililofanyika
katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015.
Rebecca Malope akiimba kwa hisia
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope

Mwanamuziki
wa Kimataifa wa nyimbo za Injili kutoka nchini Afrika Kusini,Rebecca
Malope akicheza na shabiki wake kwa staili ya pekee kabisa,huku uwanja
ukilipukwa na mayowe kila kona.
Wengine waliamua kuburudika kwa hivi
Mwanamuziki Rebecca Malope akionesha umahiri wa kuziteka hisia mashabiki wake kwa kuzunguka nao uwanjani
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini, Mchungaji Solly Mahlangu mwanamuziki nguli akiimba na kucheza katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka, lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015.
Kwa kile aliyekuwa akiguswa na nyimbo za injili ilikuwa ruksa kuinua mikono hewani kama hivi pichani.
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Joshua na vijana wake wakilishambulia jukwaa
Sehemu ya umati wa watu wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye jukwaa la tamasha la pasaka.
Mwimaji
Chritina Shusho akiimba katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka,

2015..
Mwimbaji
mahiri wa nyimbo za Injili nchini,Rose Mhando akiwasha moto wa kamata
pindo la Yesu katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka, lililofanyika

Rasmi wa tamasha la Pasaka,Mh Bernard Membe akimuelezea jambo
Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotions Ltd,Bwa.Alex Msama
Uingereza na Zambia.
Mgeni
rsami Mh.Membe akimkabidhi tuzo ya heshima Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara kwa niaba ya Rais Mstaafu,
Mhe. Ali Hassan Mwinyi.
Mhe Bernard Membe alitunukiwa tuzo kwa mchango wake kwa shughuli za kijamii.

No comments:
Post a Comment