Katibu
Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana akisalimia maelfu ya wananchi katika
mkutano wa hadhara alifanya katika mji mdogo wa Katoto, akiwa katika
ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika
mkoa wa Geita, jana, Juni 19, 2015.
Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa
hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM uliofurika maelfu ya wananchi katika mji
mdogo wa Katoro, katika mkoa wa Geita, jana, Juni 19, 2015.
Maelfu
ya wananchi wakiwa wamefurika kila kona katika mkutanowa hadhara
uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika mji mdogo wa
Katoro, jana, Juni 19, 2015. (Picha na Bashir Nkoromo).
Mbunge
wa jimbo la Busanda, Lorencia Bukwimba, akihutubia katika mkutano wa
hadhara wa Kinana uliofanyika katika mji mdogo wa Katoro, Juni 19, 2015.
Katibu Mkuu wa CCM, akiongoza kulima barabara, katikaKijiji cha
Nyan'kanga, akiwa katika ziara ya kukagua ilani ya CCM na uhai wa Chama
katika jimbo la Bsanda mkoani Geita, jana Juni 19, 2015.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kupiga ripu, nyumba ya
mganga inayoendelea kujengwa katika Zahanati ya Kijiji cha Inyala, jimbo
la Busanda mkoani Geita.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na wananchi katika
mkutano mdogo wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Chikobe, jimbo a
Busanda mkoani Geita, jana, Juni 19, 2015.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana a wananchi kwa bashasha,
alipowasili katika kijiji cha Nyan'kanga, katika jimbo la Buanda mkoani
Geita, jana, Juni 19, 2015.
Wananchi
wakishangilia katika Mkutano wa hadhara aliofanya Katibu Mkuu wa CCM
katika Kijiji cha Nyan'kanga, katika jimbo la Busanda mkoani Geita,
jana, Juni 19, 2015.
Katibu
Mkuu wa CCM, akizungumzia kero ya wananchi kukosa maeneo ya wachimbaji
wadogo kukosa eneo la uchimbaji kutokana na eneohilo kukaliwa na
serikali na mwekezaji kwa zaidi ya miaka mitano sasa bila shughuliyoyote
katika Kijiji cha Nyarugusu, jimbo la Busanda mkoani Geita.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Viti maalum
Vicky Kamata, alipowasili katika Kijiji cha Nyan'kanga, jimbo la Busanda
mkoan Geita, jana, Juni 19, 2015.
(Picha na Bashir Nkoromo).
No comments:
Post a Comment