Salma Jabu ‘Nisha’.
Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki, Nisha alisema
amelazimika kutoa ufafanuzi huo baada ya kuenea kwa uvumi kuwa ana
mpango wa kurudiana naye, jambo alilosema haliwezekani kwani kwake hana
tabia ya kula matapishi.“Siwezi kurudiana na Nay, kwanza ana mwanamke mwingine na kuzaa naye japo wameachana, mwanzo nilimuogopa sana nikimuona, lakini hivi sasa nimeshamzoea, tumebaki kama kaka na dada, suala la mapenzi haliwezi kujirudia tena,” alisema.
No comments:
Post a Comment