Akipiga Saguda alisema tangu alipofariki mchumba wake amekuwa akiishi kwa mateso kwani amejaribu kuwa na mwanamke mwingine ili kupoteza mawazo lakini imeshindikana.
“Mzimu wa Recho hivi sasa unanitokea mara kwa mara hasa nikiwa kwenye wakati mgumu, anakuja na kunielekeza jinsi ya kufanya ili kulitatua tatizo husika ambapo kweli huyafuata na kujikuta nikiwa fresh,” alisema Saguda.
No comments:
Post a Comment