Mstahiki Meya wa Manispaa ya
Ilala Jerry Silaa akiwa na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Makampuni ya
MeTL Group Hussein Dewji wakati alipotembelea Banda la Kampuni hiyo
kwenye maonyesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika
uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Mstahiki Meya Jerry Silaa
akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Makampuni ya
MeTL Group Bw. Hussein Dewji ambapo pia alimpongeza kwa bidhaa nzuri
wanazozalisha katika kampuni yao.
Mstahiki Meya Jerry Silaa akiendelea kuzungukia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Kampuni ya MeTL Group kwenye banda hilo.
Mstahiki Meya Jerry Silaa
akisalimiana na warembo wanaotoa huduma katika banda hilo ambao
wamevalia Khanga zinazotengenezwa kiwanda cha 21 Century Textile cha
MeTL .
Pichani juu na Chini ni Wananchi wakimiminika kwenye Banda
la kampuni ya MeTL Group kujipatia mahitaji mbalimbali ya nyumbani
zikiwemo Sabuni za kufulia, Unga, Mafuta ya kupikia, Vitenge, Khanga na
vingine vingi.
Baadhi ya Kinamama wakisaidiwa kuchagua Khanga na Vitenge
na mmoja wa warembo nadhifu wa MeTL wanaotoa huduma kwa wateja katika
banda hilo.
Bidhaa mpya ya Kampuni ya MeTL Group “Sheeba Shake” yenye
ladha tatu za kuvutia ikiwemo Vanilla, Chocolate na Banana. Kinywaji
hicho kitaingia mtaani baada ya maonesho haya kumalizika. Kinatia nguvu
na kukuburudisha.
Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo kutoka kwa n
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo na
Makazi(UNHABITANT) Phillemon Mutashubirwa kuhusu wanavyofanya kazi ya
kusaidia watoto wa shule na wanawake kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara
ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J. K Nyerere
jijini Dares Salaam.
Rais Jakaya Kikwete (aliyenyoosha mkono) akitembelea
Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja
vya Mwalimu J. K Nyerere jijini Dares Salaam.kushoto kwake ni Waziri
wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk. Abdallah Kigoda.
Rais Jakaya Kikwete akiangalia kiatu kilichotengenezwa na
ngozikwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea
katika viwanja vya Mwalimu J. K Nyerere jijini Dares Salaam baada
kupata maelezo kutoka kwa aliyetupa mgongo ambaye ni Mwalimu
Mwandamizi Marwa Wambura kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Dar es
Salaam(DIT), Mwanza, ambapo aliitka taaasisi hiyo kushirikiana na wenye
viwanda ili waweze kuajiri wahitimu wa chuo hicho ili fani hiyo
isipotee.
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akiangalia mafuta ya ubuyu
na bidhaa zingine kwenye banda la Mfuko wa Fursa Sawa Kwa wote (EOTF)
kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika
viwanja vya Mwalimu J. K Nyerere jijini Dares Salaam .Kutoka
(kushoto) wa pili ni Mwenyekiti wa EOTF Mama Anna Mkapa (kushoto) ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Stephen Emmanuel.
Rais Jakaya Kikwete
(kulia) akiangalia vikapu kutoka banda la Mtwara na kwenye banda
la Mfuko wa Fursa Sawa Kwa wote(EOTF) kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara
ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J. K Nyerere
jijini Dares Salaam .Kutoka (kushoto) wa pili ni Mwenyekiti wa EOTF
Mama Anna Mkapa (kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Stephen Emmanuel.
Rais Jakaya Kikwete akiangalia
kiatu kilichotengenezwa na ngozikwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya
Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J. K Nyerere
jijini Dares Salaam baada kupata maelezo kutoka kwa aliyetupa mgongo
ambaye ni Mwalimu Mwandamizi Marwa Wambura kutoka Taasisi ya
Teknolojia ya Dar es Salaam(DIT), Mwanza, ambapo aliitka taaasisi
hiyo kushirikiana na wenye viwanda ili waweze kuajiri wahitimu wa chuo
hicho ili fani hiyo isipotee.
No comments:
Post a Comment