Washiriki wa Miss Arusha City Center 2012 wakiwa katika picha ya pamoja tayari kwa kuchuana vikali usiku wa leo
Washiriki wa Miss Arusha City Center 2012, wakiwa katika picha ya pamoja,safi kabisa tayari kwa kuchuana vikali usiku wa leo june 23/6/2012 ndani ya hoteli ya Kitalii,Naura Springs Hotel iliyopo kati kati ya jiji la Arusha.Shindano hilo kiingilio chake kimepangwa kuwa ni kwa viti maalum ni sh.50,000/= na kwa viti vya kawaida ni sh 30,000/= na Wanafunzi 10,000/=
No comments:
Post a Comment