Picha
za washiriki wa miss Arusha walipotembelea kampuni ya bia TBL jjini hapa
na kujionea jinsi kiwanda kinavyozalisha vinywaji aina tisa ikiwemo bia
ambayo ipokaribuni kuingia sokoni ya Faru imbayo utengenezaji wake
umeanza jana
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilpmuU0hzwQ1GWwJwzR9XotsDQWsocSLCCNIEe_K4vjtS1mwcquq3gr3crWB-CVu8XUHJ0TGen7V7XCO95Y6Sk9I7CEiGFn0mVdToyWyD1dDsy7FYK5V-uEqhFS9jjyyHxpRvboSH8xBpi/s640/IMG_4644.JPG) |
wanyange
wakiwa kwenye pozi tofauti ndani ya kiwanda cha bia TBL kuangalia
uzalishaji wa kinywaji kilichozamini mashindano ya wanyange hapa nchini
cha REDS ambapo waliongozana pamoja na walimu wao na matron wao na
waandishi wa habari kutembelea kiwanda hicho. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVvTNqWGYg59B9TaMr0JyROkqEIb60rPzmvOX4nU7qA-5zqWzX16jRQYCyf41PSvOuWTZdnuPIkLDZQC1y4MtUJWpNk-6H-IHXGMLCP2_inTshlAVORdabUYmMLD7gYr8C3D5VMhUf3QSP/s640/IMG_4671.JPG) |
Mashindano
ya mwaka huu ya REDS Miss Arusha yanatarajiwa kufanyika kwenye ukumbi
wa Mount Meru hotel Jijini Arusha hapa warembo wakijifunza mambo ya
uzalishaji kwenye kiwanda cha bia tbl na wameahidi kuwa REDS MISS
TANZANIA mwaka huu atatoka kanda ya kaskazini na si vingine (picha
Mahmoud Ahmad Arusha) |
No comments:
Post a Comment