Rekodi inaonyesha kwamba Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu toka aanze
kuandikwa kwenye vyombo vya habari mwaka alijitwalia taji hajawahi
kukauka hadi saa.
Baadhi ya watu walioongea mitaani wameshangazwa na tabia ya miss huyo na kuuliza kwamba je, mikasa yake inamfuata kwa bahati mbaya au ina malengo maalum?
Wengi wamesema kwamba wako warembo wengi waliopitia Miss Tanzania na waliandikwa kutokana na skendo zao mbalimbali, lakini kwa Wema inaonekana kama imevuka mipaka.
Watu wanasema wanataka kuamini kuwa Wema ana matumizi ya kitu kingine mbali na umisi ambacho kinamfanya aibuke na skendo kula kukicha ili awe juu kila mwaka kama alivyo saa.
Wakati huohuo skendo kuu inayomtafuna Wema inahusu masuala ya mapenzi kwa kubadilisha wanaume siku hadi siku.

No comments:
Post a Comment