BREAKING NEWZZ!!!!! Ajali ya gari dogo la police mbele tu kidogo ya chalinze
Hii
ni ajali ya gari dogo la police ilikua imebeba maabusu imepata ajali
mbele tu kidogo ya chalinze, kama nusu saa iliyopita na askari wanne wamefariki hapo hapo.Nawengine wapo hoi saana!!..Mungu
azipumzishe roho za marehem, pema peponi..AMEEN
No comments:
Post a Comment