Katika pita pita yangu leo asubuhi
ikiwa ni kama ada yangu kuwataftia habari nikakutona na habari hii kwa
kweli ilinisikitisha nikakaka kama saa zima nafkiria namna ya kuwaambia
wanajamii pamoja na wadau wangu ambao tunakutana kupitia facebook.
katika mtandao mmoja wa kijimii
umeandika facebook inafungwa tarehe 15 mwezi huu, PALO ALTO, CA –Mark
Zuckerberg amesema kumanage site sio kazi ndogo inampa mawazo tu so
kutokana na hivyo anaamua kuifunga.
hebu soma hii
Zuckerberg reportedly went on to explain that starting July 15th, users will no longer be able to access their Facebook accounts. That gives users (and Facebook addicts) a year to adjust to life without Facebook.
“After July 15th, 2012 the whole
website shuts down,” said Avrat Humarthi, Vice President of Technical
Affairs at Facebook. “So if you ever want to see your pictures again, I
recommend you take them off the internet. You won’t be able to get them
back after Facebook goes out of business.”
Zuckerberg said the decision to shut down Facebook was difficult, but that he does not think people will be upset.
“I personally don’t think it’s a big
deal,” he said in a private phone interview to a source close to a
friend. “And to be honest, I think it’s for the better. Without
Facebook, people will have to go outside and make real friends. That’s
always a good thing.”
hebu na wewe pitia hapa uhakikishe http://weeklyworldnews.com/headlines/27321/facebook-will-end-on-july-15th/2/2012
na ujana tz
No comments:
Post a Comment