EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Tuesday, September 17, 2013

CHOMBEZO: KITANDA CHA MAMA MWENYE NYUMBA....SEHEMU YA 08

NA IRENE MWAMFUPE NDAUKA
ILIPOISHIA...
Baba Joy alitingisha kichwa kama kukubaliana na maneno ya
Fuko...
”Oke...sawa, ni nimekuelewa vizuri, endelea na kazi,”
alisema baba  Joy.
Alisimama mlango mkubwa na kumwita mkewe...
”Mama Joy...”
”Abee.”
Sekunde kadhaa mbele, mama Joy alisimama mbele ya
mumewe...
”Abee...”
”Hili fuko la taka hapa chafuchafu vipi?”

Mama Joy hakujibu kitu, alilifuata, akainama kuliokota na

kuondoka nalo. Wakati anaondoka, baba Joy alimtupia macho mwanzo mwisho,
akabetua vidole na kuzama ndani.
 
***
Asubuhi iliyofuata, baba Joy aliondoka kwenda ofisini
kwake kama kawaida. Alikuwa na ahadi za kibiashara kama tano baada ya kuwa
Arusha.
Nyuma, mama Joy alioga, akajipodoa vizuri sana na kutoka
hadi getini...
”Fungua geti,” alimwamuru Fuko...
”Sawa bosi,” mlinzi alifungua geti kwa wasiwasi huku
akikumbuka alivyomchongea mwanamke huyo kwa mumewe jana yake kwamba anahisi
alimtoa mzoa taka jana yake alipomtuma dukanu kununua dawa ya mswaki.
Baada ya geti kuwa wazi, mama Joy alitoka nje na kusimama
akiangaza kulia na kushoto...
”Sijui kijana wangu mzoa taka atakuja au ndiyo ameingiwa
na woga? Angekuja japo nimwone kwa macho tu...nakapenda katoto kale...kanayajua
mambo.

***
Baada tu ya kufika ofisini, baba Joy alimuuliza sekretari
wake mambo mawili matatu kama yalitokea wakati amekwenda Arusha...
”Yule mzungu wa Adams Company alikuja, pia wale Wahindi
wa Singapore wamefika jana, watakuja leo. Mambo mengine bosi yapo kwenye infile
zako bosi...”
”Oke,” baba Joy alipitiliza hadi mezani kwake, ila anakaa
tu akakumbuka kitu...
”Hivi, yule Fuko aliniambia kuhusu kununua dawa ya meno,
wakati napiga mswaki asubuhi ile dawa ilikuwa mpya au ya zamani? Mbona kama
sikumbuki kitu chochote pale,” alisema moyoni baba Joy.
Alisita kwanza kufanya jambo lolote lile na kuwaza kuhusu
hilo la dawa ya meno...
”Noo! Pale hapakuwa na dawa mpya, ingawa sina uhakika na
hili, oke, nitalifanyia kazi.
 
***
Mama Joy alisimama nje akiangaza kulia, kushoto na sehemu
nyingine mbalimbali za eneo alilosimama...
”Sijui kama ataweza kuja tena kwangu, maana jana aliponea
kwenye tundu la sindano. Na angekutwa na baba Joy hakiyamungu angemtoa sikio na
risasi, mi baba Joy namfahamu vizuri sana yule mwanaume, ana hasira kama
mkizi,” alisema moyoni mama Joy.

Alihisi mwili ukimnyevunyevua hasa akizingatia kuwa, jana
yake akiwa katka hatua za mwisho za ’kutibiwa’ na mzoa taka ndipo mumewe
alipoingia. Halafu mbaya zaidi, usiku baba Joy hakumgusa...
”Mh! Akija atagonga geti bwana,” alisema moyoni mama Joy
na kuanza kuingia ndani. Lakini kabla hajazama, kwa mbali kulia kwake alimwona
mwanaume anakuja, akasita, akarudi ili kumsubiria. Kwa bahati mbaya hakuwa mzoa
taka, lakini alikuwa kijana wa palepale mtaani, ni nyumba ya tano tu kutoka
nyumbani kwake...
”Hujambo Bonny..?”
”Sijambo, shikamoo mama Joy...”
”Asante, unakwenda wapi..?”
”Kule kwa mzee Mdenga na Madi...”
”Kufanya nini..?”
”Nimeutwa na baba...”
”Halafi siku hizi  Bonny mbona unajazia hivyo,
unafanya mazoezi nini..?”
”Eee, nanyanyua vyuma siku hizi mama Joy...”
”Huko kwa Mdenga na Madi unarudi muda gani?”
”Sasa hivi...”
”Basi ukirudi pitia hapa tuongee kitu...”
”Sawa mama Joy.”
Bonny alitembea akiwaza kuhusu kauli ya mwanamke huyo,
hasa ya kumwambia akirudi apitie kwake amwambie kitu...
 ”Huko kwa Mdenga na Madi unarudi muda gani?”
”Sasa hivi...”
”Basi ukirudi pitia hapa tuongee kitu.”
 Bonny aliyarejea mazungumzo yale huku akiwa hajui
ni ya nini. Yeye alizaliwa mtaani hapo, lakini mpaka kufikia umri alionao
hajawahi kuingia kwenye nyumba hiyo. Siku moja tu aliishia getini akiwa
anaongea na Joy mwenyewe ambaye kwa wakati huo alikuwa shuleni sekondari ya
boding...
”Tutaona nikirudi,” alisema moyoni hivyo na kuendelea na
safari yake.
 
***
”Mama leo mbona safari za nje ni nyingi?” mlinzi
alimuuliza mama Joy...
”We mume wangu..?”
”Kwani kukuuliza lazima niwe mumeo..?”
”Sasa kibali unapata wapi..?”
”Siku ile chumbani kwako si ulisema nikuite mke wangu na
wewe ukaniita mume wangu, nilijua bado kibali kinafanya kazi...”
”Fuko umechoka kazi siyo..?”
”Hapana bosi...”
”Sasa ujasiri huo unaupata wapi?”
”Bosi nilikuuliza nikiwa na maana, nilijiua labda unatoka
kumwangalia mzoa taka...”
”Wewe anakuhusu nini mzoa taka,” mama Joy alimkatisha...
”Nilitaka kukwambia alikuja asubuhi sana leo, nikamwambia
mzee bado yumo ndani ajaribu baadaye.”
Mama Joy aliyekuwa akitembea kuelekea ndani, alisimama,
akageuza na kuanza kutabasamu...
”Fuko...”
”Ndiyo bosi...”
”Ni kweli..?”
”Kweli bosi...”
”Kwa hiyo atarudi..?”
”Alisema saa tano...”
”Ngo ngo ngooo,” geti liligongwa...
”Ni yeye nini? Hebu mfungulie.”
Mlinzi alikwenda kufungua geti, lakini huyo
aliyefunguliwa hakuingia, aliulizia kwa nje kiasi kwamba, mama Joy hakumwona...
”Marhaba hujambo...eee yupo....nimwambie nani?” mlinzi
alijibizana na huyo mtu aliyegonga geti. Akamgeukia mama Joy...
”Bosi kuna kijana anaitwa Bonny anakuulizia wewe...”
”Mwingize apite. Karibu sana Bonny...”
”Asante sana mama Joy.”
Mama Joy alinyoosha mkono na kuushika mkono wa Bonny na
kuanza kutembea naye kuelekea ndani...
”Hivi mama alirudi ile safari yake ya China..?” aliuliza
mama Joy...
”Alirudi lakini amekwenda tena.”
Kule nyuma, mlinzi aliwatumbulia macho na kutingisha
kichwa...
”Bosi bwana, sasa huyu kijana naye sijui amemtoa wapi? Na
sijui ana shida naye gani?”
Mama Joy na Bonny walifikia sebuleni, Bonny alipokaa,
mama Joy alikwenda jikoni kwanza, aliporudi naye akakaa kwenye sofa lilelile
alilokaa Bonny...
”Niambie kijana wangu, chuo ulimaliza vile..?”
”Bado mwaka mmoja...”
”Sasa mbona uko hapa?”
”Nimefuata ada...”
”Mh! Ada shilingi ngapi kwani?”
”Iliyobaki ni laki mbili, sasa wakati nakwenda baba si
alikuwa Marekani na mama China, baba amerudi jana, nadhani kesho nitaondoka..”
”Oke, sasa na mimi hapo kwenye laki mbili nitakuchangia
shilingi laki moja, umesikia..?”
Bonny alifurahi sana si kwa sababu attachangiwa ada kwani
baba yake ana uwezo sana, ila alijua kwenye bajeti yake ya shule atakuwa na
laki moja ya ziada kwa hiyo akiwa chuo ataweza kwenda klabu na masela
wenzake...
”Sawa mama Joy...”
”Nikupe sasa hivi au..?”
”Hata sasa hivi maana nadhani kesho asubuhi ndiyo
naondoka, hatutaonana tena.”
Mama Joy alimwangalia kwa macho ya mlegezo huku
akijilambalamba ulimi kama mtu anayeonja chumvi kwenye mapishi...
”Njoo uchukue,” alisema mama Joy akisimama, Bonny naye
akasimama na kumfuata mwanamke huyo hadi kwenye mlango wa chumbani, akasimama...
”Ingia tu Bonny...”
”Hapana mama Joy, si vizuri niingie chumbani kwa baba...”
”Hamna neno Bonny, ingia tu.”
”Mama panatosha hapa...”
”Noo bwana, ingia, nitakupa laki mbili zote,” mama Joy
alichombezea, Bonny akalainika, akazama chumbani. Mama Joy akafunga mlango
nyuma ya Bonny huku akivua nguo chapchap...
”Bonny umejazia vizuri sana hakuna haja ya kupoteza muda,
tufanye kweli, wala usione aibu haya mambo ya kawaida sana hapa duniani,”
alisema mwanamke huyo akiwa ameshavua nguo zote.
Bonny aliweka kiganja cha mkono kwenye uso wake ili
kuficha macho yake yasimwone mwanamke huyo ambaye kiuhalisia ni sawasawa na
mama yake mzazi, mama Bonny...
”Bonny njoo sasa, tafadhali njoo kitandani, we mwanaume
bwana, tena kijana rijali kabisa, ona ulivyo na kifua cha mazoezi, teh..!
Teh..! Teh..! Teh..!  Bonny bwana...”
Bonny alijikuta akivutiwa na shilingi laki mbili, badala
ya kuyaangalia mapenzi kwa mama Joy alivuta picha ya matanuzi atakapokuwa
chuoni, alimsogelea mama Joy...
”Jamani, ona kifua chako kijana, kimejengeka vizuri sana,
unafanya mazoezi gani Bonny?”
”Ya kunyanyua vyuma mama Joy...”
“Tu
basi..?”
“Tu
basi.”
Mama Joy
alimvutia kifuani kwake, akamkumbatia wakiwa wamesimama wakitazamana. Ilifika
mahali, mama Joy akapenyeza mkono ndani ya kifua cha Bonny na kuanza
kukipapasapapasa huku akisema…
“Garden
love hizo, daa kijana wewe bwana, girlfriend wako anafaidi sana eee..?”
Bonny
alitamani kumwambia ampe sasa hizo laki mbili badala ya kupoteza muda…
“Anafaidi
kawaida tu, si sana…”
“Acha
bwana, mmh! Ona kazi, angalia ulivyo mpana…”
“Mama
Joy…”
“Niambie
kijana mtanashati…”
“Hizo
laki mbili vipi?”
“Utapata
wala usiwe na wasiwasi, hutaki kupumzika kidogo kwanza..?”
“Kupumzikaje..?”
“Kitandani…”
“Haa!
Mimi mama Joy nipumzike kwenye kitanda chako..?”
“Kwani kuna
nini, si kitanda cha mama mwenye nyumba.”
Mara
mlango uligongwa…”
“Nani..?”
“Mimi,”
aliitikia mlinzi…
“Unasemaje?”
mama Joy alimuuliza baada ya kufungua mlango. Hakuwa na shaka kwamba aliyegonga
ni mumewe kwa sababu alijua hawezi kutoka ofisini baada ya kutokuwepo kwa siku
mbili…
“Mzoa
taka amekuja bosi, nimwambieje?”
“Mwingize
ndani, anisubiri kule nyuma kwenye dude la taka.”
Mama Joy
alifunga mlango kwa nguvu, akamrudia Bonny…
“Sasa
mpenzi wangu wakati wa kukupa zile laki mbili umefika, umesikia..?”
“Nashukuru
sana.”
Mama Joy
aliliendea kabati lake la nguo na kutoa laki mbili, Bonny akaziona…
“Hizi
hapa.”
Lakini
kabla ya kumpa alimshika na kumvutia kwake, wakagongana vifua, mama Joy
akatumia nafasi hiyo tena kumwomba denda Bonny, kijana kinywa kikafunguka na
kukaa wazi, ulimi wa mwanamke huyo ukapita zake na kuanza kutalii huku ukitoa
joto la mahaba…
“Mmm…”
aliguna mama Joy, akaguna sana, Bonny akajikuta mikono yake ikimshika mama Joy
kwenye mabega na kumvutia kwake, wakakumbatiana kwa sana…
“Mmmm…”
Bonny aliiga kama mama Joy. Wakiwa wanaendelea na kulana denda, Bonny
alifanikiwa kuziona zile laki mbili kwenye mkono wa kulia wa mama Joy, hapo
akazidi kusisimka. Alianza kuamini kwamba, kama atamshikilia mwanamke huyo
atakuwa msaada wake mkubwa kila akirudi toka chuo.
Miguu
yao ilichoka kusimama, wakajikuta wakiangukia kitandani. Bonny hakujali umama,
akamvua nguo lakini zake hakutaka kuvua, akamchezesha gwaride la haraka.
Mama Joy
alimsifia sana Bonny, akamwambia anapenda aone kifua chake kikiwa kazini kinafananaje,
Bonny akashuka kitandani na kuvua nguo zote, wakabaki walivyozaliwa. Gwaride
likaendelea.
Mama Joy
alipata ushindi wa kwanza na wa pili huku alipokuwa akiusaka wa tatu, akauupata
sambamba na kijana huyo.
 
***
Jikono
mlinzi na Helena walikuwa wakimteta bosi wao huyo…
“Kwanini
amekuwa hivi siku hizi? Zamani hakuwa hivi…”
“Ooo, we
unajuaje, niulize mimi ninaye shinda ndani, we si unawaona wageni wakiingia na
kutoka tu,” alisema Helena, akaongeza…
“Tena
nadhani we umeanza kubaini hilo baada ya kupewa nafasi ya kula tunda, lakini
huyu mwanamke hajatulia hata kidogo, ni mzinzi mkubwa, sijui anajisikiaje? Hana
aibu wala haya, ameumbwa vibaya…”
“Mh! Kwa
kweli, pengine malezi ya kwao, maana kuna watu wamelelewa vibaya katika maisha
na ndiyo wanaokuwa na tabia hii…”
“Kulelewa
vibaya kivipi, ina maana wazazi wake walikuwa wakimwambia awe mzinzi..?”
“Hapana,
utakuta mzazi hajali bintiye akitoka na kurudi hata saa sita usiku, unadhani
anakuwa wapi kama si kwa wanaume..?”
“Ni
kweli lakini.”
Mara,
walisikia mlango wa chumbani ukifunguliwa, mlinzo akakimbia kurudi kwenye lindo
lake…
“Bosi
amesema nenda kamsubiri kwenye dude la taka, lakini ujue mzee mwenye nyumba
yupo hapa mjini…”
“Yupo
ndani..?”
“Nimekwambia
yupo mjini, hujui Kiswahili..?”
“Sasa
mbona unawake kaka..?”
“Lazima
niwake, iko siku moja utanaswa kama mwizi wewe, malaya wa kiume we…”
“Kha!
Bosi hayo matusi yanatokea wapi tena?”
“Acha
wewe, ondoa kelele zako hapa, ala!”
“Usinikoromee,
we nyanda wa geti tu, huna tofauti na mimi, tena afadhali mimi Napata nafasi wa
kuja kujirusha na bosi wako…”
“Nani
hajajirusha naye?”
“Ina
maana hata wewe tayari..?”
“Achilia
mbali mimi, hivi saa hizi yuko ndani na kijana naye anajirusha kama wewe na
mimi.”
Mara,
mama Joy na Bonny alitokea na kuwakuta mlinzi na mzoa take wamesimama getini…
“Nyie
vipi hapo..?”
“Hakuna
kitu bosi, nilikuwa namwelekeza huyu aende kwenye dude la takataka kama
ulivyosema…”
“Mama,”
mzoa taka aliita…
“Unasemaje
kijana wangu..?”
“Huyo
nani..?”
“We
unamtakia nini?”
“Mh!
Isije kuwa kama mimi..?”
“Kama
wewe kivipi..?”
“Mpenzi
wako…”
“Ha!”
alihamaki Bonny kumsikia mzoa taka akisema maneno yenye dalili kwamba ni mpenzi
wa mwanamke huyo…
“Usijali
sana Bonny, huyu kijana anakujaga kuzoa takataka humu ndani kwangu…”
“Pii…piii,”
honi ya gari ililia getini…
“Nani
huyo?” aliuliza mama Joy…
“Bosi,
si wote tuko ndani?” alijibu mlinzi huku akikimbilia geti dogo kwanza…
Alifungua na
kuchungulia nje, akaliona gari la baba Joy…

“Bosi…bosi mzee
kaja…”
“Pipii…piii…”
“Mh! Hebu fungua,
hakuna jinsi,” alisema mama Joy. Mzoa taka baada ya kusikia mwenye gari nje ni
mume wa yule mwanamke, alitimua mbio kuelekea kwenye dude la taka, akazamisha
fuko lake kwenye dude lile  kisha na yeye
akapanda na kuzama bila kujali harufu.

Geti lilifunguliwa,
baba Joy akaingia na gari mpaka kwenye sehemu anayoegesha, akashuka akiwa
amekazia macho Bonny…
“Shikamoo baba Joy…”
“Marhaba Bonny,
hujambo bwana…”
“Sijambo…”
“Za siku..?”
“Nzuri…”
“Upom,
sijakuona siku nyingi, siku hizi nasikia upo chuo aliniambia mzee wako…”
“Eee, nipo chuo.”
“Sawa, karibu sana.”
“Asante, nilikuja
kusalimia sasa naondoka,” alisema Bonny lakini kwa sauti ya kutetemeka kwa
wasiwasi…
“Ni vizuri, umekuwa
baba sasa, naona hata sauti imeanza kutoka ya kutetemeka.”

Baada ya Bonny
kuondoka na geti kufungwa, baba Joy alimkazia macho mkewe…
“Kuna fundi atakuja
kuchukua gari hili akatengeneze…Fuko fungua geti nataka kutoka na hilo gari
analolitumia mama Joy.”
Geti lilifunguliwa,
baba Joy akahamishia vitu vyake, hasa brifkesi kwenye gari jingine aina ya Land
Cruiser V8 na kuondoka zake bila kuongeza kitu kwa mkewe wala mlinzi…

“Fuko funga geti,”
alisema mama Joy. Aliondoka na kumfuata mzoa taka kule alikokimbilia ambapo
hakumuona. Alishindwa kumuita kwa jina kwa sababu alishamsahau jina…
“Huyu atakuwa
amekwenda wapi?”

Mzoa taka kule ndani
ya dude la taka alisikia dalili za mtu kutembeatembea, aliwaza ni mume wa
mwanamke anayefanya naye mapenzi. Na alijua anamsaka yeye, sasa ili kujilinda
aliinua kichwa kidogo na kuchungulia…
“Ah!” alijikuta
USIKOSE SEHEMU YA ...09 HAPA NA IRENE MWAMFUPE NDAUKA

1 comment:

  1. Moja kati ya story tamu niliyokuwa nikiifuatilia kwa mda mrefu sana. Thanx and keep it up! tunategemea kitu kipya soon.......

    ReplyDelete

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate