Baadhi ya Wageni kutoka Nchi
mbalimbali wakiwa katika Viwanja vya Maisara ili kujuwa Ndugu zao na
kuangalia taratibu zinazofanyika viwanjani hapo kutokana na Kuzama kwa
meli ya skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe
Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi wakiwa
wamekusanyika katika Viwanja vya Maisara ili kuweza kupata taarifa ya
Ndugu zao waliokuwa katika Meli ya Skagit ambayo imepata Ajali ya
Kuzama katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Baadhi ya Maiti zilizopatikana
katika Ajali ya Meli ya Skagit iliozama zikiwa katika Eneo la Maisara
kwa ajili ya kutambuliwa na Nduguzao.
No comments:
Post a Comment