Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji akisoma risala yake mbele ya Raisi Kagame |
Wachezaji wa Yanga wakisikiliza kwa makini risala ya mwenyekiti wao |
Nahodha wa Yanga na kocha wakimkabidhi kombel la Kagame - mdhamini mkuu wa kombe hilo Raisi wa Rwanda Paul Kagame. |
Paul Kagame akiongea na Wachezaji wa Yanga |
PICHA ZOTE ZIMEPIGWA NA SALEHE ALLY WA CHAMPION |
No comments:
Post a Comment