Klabu ya Yanga ipo katika mpango wa kumsajili mchezaji Mrisho NgasSa kwa shilingi milioni 120.
Habari
kutoka ndani zinasema baadhi ya viongozi wa Yanga wako katika
mazungumzo na uongozi wa
Azam ili kumrudisha mchezaji huyo katika timu yake ya zamani.
Azam ili kumrudisha mchezaji huyo katika timu yake ya zamani.
NgasSa
ambaye mwaka juzi na mwaka jana alikipiga katika klabu ya Azam na sasa
amepelekwa kwa mkopo katika klabu ya Simba huenda akatua tena
jangwani, Licha ya kuwa kuna taarifa kwamba Simba hawataki mchezaji huyo
aondoke.
Huo utakuwa upunguani walishindwa kumchukua kwa M 30 now wanatoa mahela yote hayooo,Mi YANGA damuuu ila huu ni upambafuuuuuuu wa hali ya juu,lets wait n see!
ReplyDelete