EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Thursday, September 20, 2012

LEMA :SEREKALI ISITUGOMBANISHE CHADEMA NA WAMACHINGA ARUSHA

Bw Lema aliyasema hayo siku ya jana wakati akiongea na waandishi wa habari 
mara baada ya chama hicho kushindwa kufanya mkutano wa hadhara katika
viwanja vya NMC ambavyo vimegeuzwa kwa ajili ya matumizi ya Wamachinga.

 Jemsi ole milya akiongea katika mkutano huo ambapo alisisitiza na kuitaka serekali irejeshe viwanja vyote vya michezo vinavyomilikiwa na CCM kwani viwanja hivyo vimejengwa kwa kutumia fedha za wananchi na sio za chama hicho ,ambapo alitaja baadhi ni pamoja na kumbukumbu ya sheikh Amri Abeid,Nyamagana kilichopo mwanza pamoja na kiwanja cha CCM kirumba
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini Bw Goodbless Lema amemtaka
Mkuu wa Willaya ya Arusha Mjini Bw John Mongela kuhakikisha kuwa
anatumia busara zaidi  ambapo Halmashauri ya Manispaa ya Arusha
kupitia kwa Mkuu huyo wamegeuza matumizi ya uwanja ambao ulikuwa
unatumiwa na CHADEMA kwa ajili ya mikutano ya nje na kuwapa  eneo hilo
wa Machinga siku moja kabla ya kufanya mkutano wa hadhara.

Aidha Bw Lema alifafanua kuwa kitendo hicho cha kubadilishiwa matumizi
ya uwanja ambao ulikuwa ukitumiwa sana na Chadema umefanywa na Mkuu wa
Wilaya ya Arusha na hayo yote yanatokana na chuki binafsi za maslahi
ya kivyama ingawaje bado chama hicho kina uwezo mkubwa sana wa
kuendelea kufanya kazi yake

Alifafanua kuwa hali hiyo ya kubadilisha matumizi ya uwanja  kutoka
uwanja wa matumizi ya kijamii na kwenda kwenye uwanja wa kuuza vitu
kwa wafanyabiashara wadogo wadogo(MACHINGA) umetokana na chuki ambazo
zilikuwa zimeelekezwa kwa chama hicho dhidi ya wamachinga hali ambayo
imetokana na chuki za siasa hasa kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha

“inaamanisha nini leo tumeshapanga kufanya mkutano alafu Mkuu wa
Wilaya anaelekeza watu wamwage Vifusi kwa ajili ya eneo la Machinga je
wakati wote huo walikuwa wapi  na kama sio kutogombanisha na Machinga
ninini lakini bado tuna nafasi kubwa sana ya kuendelea kufanya
mikutano hata kama ni nyumbani kwetu na tutawatetea hawa vijana ambao
ni machinga kufa na kuzikana”aliongeza Bw Lema

Pia aliishauri Serikali kuhakikisha kuwa kabla hawajafikiria kuwatoa
wafanyabaishara wadogowadogo (MACHINGA)wanatakiwa kutengeneza
miundombinu imara ambayo itatumika lakini kwa sasa ndani ya eneo hilo
ambalo limegeuzwa matumizi yake na Mkuu wa Wilaya bado walengwa
watapata shida sana na kutokana na hali hiyo hata uchumi nao
utadidimia sana

“ukingalia sana ndani ya viwanja hivi vya NMC ambavyo vilikuwa
vikitumika na Chadema na sasa ni viwanja vya machinga bado ni hafifu
sana kutokana na kuwa hakuna miundombinu yoyote alafu pia kabla hawa
watu hawajapelekwa  kule walitakiwa kuhakikisha kuwa wanaboresha ila
wamewakimbizia huko kwa ajili ya mkutano wetu  ambao ulikuwa wa
kuchakaza sura ya Arusha kutokana na ukweli ambao sisi
tunaujua”aliongeza Bw Lema

Awali Katibu wa chama hicho kwa mkoa wa Arusha bw Amani Golugwa
alisema kuwa mbali na hayo wamejipanga kuhakikisha Mji wa Arusha
unakuwa na historia yake kwa kuhakikisha kuwa kila mwananchi anapata
haki yake ya msingi na wala sio kuonewa na baadhi ya viongozi ambao
hawana maadili ambao ndio chanzo kikubwa sana cha umaskini.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate