EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Thursday, September 20, 2012

Waasi watawala kimabavu DRC

Mkuu wa harakati za kudumisha amani wa Umoja wa mataifa Herve Ladsous ameliambia baraza la usalama la Umoja huo kwamba waasi wameidhinisha kile anachokiita kuwa ni utawala wa kimabavu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
                                                                 Waasi wa M23

Bwana Ladsous amesema waasi wa M23 wanadhibiti idadi kubwa ya maeneo ya Mashariki mwa Congo na wanawatoza kodi wananchi .Waziri wa Madini wa Congo, ameziandikia nchi za Marekani na Uingereza akizitolea wito kampuni katika nchi hizo ziache kununua madini kutoka Rwanda, ambayo mengi anasema yanachimbwa katika ardhi ya Congo.Umoja wa Mataifa unaishutumu Rwanda kuwaunga mkono waasi wa M23. Wakati huo huo Maafisa wa Congo wanataka Rwanda iwekewe vikwazo biashara ya madini .Zaidi ya watu 200,000 wameachwa bila makao kufuatia mapigano Mashariki mwa nchi.
Mkutano wa maafisa wa ngazi ya juu watakaojadili mzozo huo unatarajiwa kufanyika katika baraza la usalama la Umoja wa mataifa mjini New York wiki ijayo."waasi wa M23 wako katika pembe moja ya mkoa wa Kivu Mashariki ambao unapakana na Rwanda na Uganda'' alisema bwana Ladsous wakati akiwahutubia waandishi wa habari mjini New York.

                                                                Waasi wanaotoroka vita
"ni kama ambao wanatawala kwani wanawatoza kodi wenyeji wa mkoa huo , jambo hili halikubaliki hata kidogo'' aliongeza bwana Ladsous.
Wakati huohuo, maafisa wa utawala nchini DRC wanataka vikwazo kuwekewa biashara ya madini yanayotoka nchini Rwanda.Wadadisi wanasema kuwa madini mengi yanayotoka nchini Rwanda huenda yalitoka nchini DRC na kuchimbwa na makundi ya waasi walio na uhusiano na Rwanda.
"namna tunavyoweza kukomesha kabisa mzozo huu ni Rwanda kuwekewa vikwazo vya kibiashara kwa madini yanayotoka nchini humo hadi tutakapoweza kupata suluhu la kudumu kwa mzozo katika mikoa ya Kaskazini na Kusini ma Kivu.'' alisema waziri wa madini wa DRC Martin Kabwelulu. .

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate