VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Masogange (pichani juu) amefunguka kuwa siku chache zijazo atamuanika mpenzi wake aliyoko nchini Afrika Kusini kwa sasa.
Akizungumza na Mbovu Mbovu za Mastaa, Agnes aliweka plain kuwa amekuwa akiteswa sana na maswali ya mashosti zake wanaotaka kumjua shemeji yao.
“Ni kwa sababu hayupo lakini hivi karibuni anatarajia kuingia Bongo, nitamweka hadharani kila mtu amjue wala wasiwe na wasiwasi,” alisema Agness.
No comments:
Post a Comment